Thursday, May 15, 2008

KICHANGA CHA KIKE CHAZALIWA NA MIMBA!!!

Doctors say its a unique case for this World!!!

Medical Science Report says: When the mother of this child was pregnant, she had 2 fetuses inside her, but one of the fetus grew inside the other, this is why this girl was born with the other foetus inside her womb.Is this really possible? Check out the Xray films and ultrasound of the baby!
Haya mambo yanatisha na kusikitisha kusikiwa lakini tufanyeje? Neno linasema, muyaonapo mambo kama hayo ambayo sio ya asili kabisa kwa binadamu, wale walio wateule wachangamke, maana saa ya kurudi kwa Bwana wao i karibu!!

SOURCE: http://www.shobeceo.com 06.03.2008

3 comments:

Anonymous said...

Mh!!inatisha,sijui niseme nini

Anonymous said...

Haya mambo ya duniani yanatisha sana siku hizi! Eee Mungu tusaidie!

Anonymous said...

Jambo tunalotakiwa kufanya ni kukesha, kwa njia ya kusali na kuomba, tuwe macho, na taa ziwe zimejaa mafuta muda wote, ni kuombeana sisi kwa sisi.. Waefeso 6:18