Thursday, May 1, 2008

Uchaguzi wa Fellowship ya ICF -Uhasibu Arusha ulivyofana

Wawakilishi wawili, Hellen Andrew na Zawadiel Gideon baada ya kuchaguliwa
Katibu msaidizi Flora Kassian baada ya kuchaguliwa mshindi.
Katibu dada Grace,Mwenyekiti na M/M-kiti wastaafu wakifuatilia uchaguzi
Mwenyekiti Elihaika Bryson-akiangua kilio baada ya kuchaguliwaUhesabuji wa kura ulikuwa ukiendelea hivi.
Asante SavedLema kwa picha hizi...ubarikiwe.

No comments: