Friday, March 7, 2008

Lengai Nelson -Mtumishi wa Mungu

UPATES NILIZOZIPATA SASA HIVI ZINASEMA KUWA MWILI WA MAREHEMU LENGAI NELSON UNATAZAMIWA KUAGWA SIKU YA LEO SAA 8 MCHANA PALE NYUMBANI KWAKE KURASINI KARIBU NA STUDIO ZA WAPO RADIO.BAADA YA HAPO MWILI UTASAFIRISHWA HADI ARUSHA MAENEO YA NGARAMTONI ZILIPO STUDIO ZA RADIO HABARI MAALUM.IKUMBUKWE KUWA LENGAI AMEWAHI KUFANYA KAZI KATIKA STUDIO HIZO KABLA YA KUHAMIA PRAISE POWER RADIO NA BAADAYE ALIJIUNGA NA TAASISI YA TAYOMI KUMTUMIKIA MUNGU KABLA YA KUINGIA WAPO RADIO.HADI ANAFARIKI LENGAI ALIKUWA NI MFANYAKAZI WA WAPO RADIO FM.
SAYUNI BADO HAIJAPATA PICHA ZA MATUKIO KWANI MWAKILISHI WETU ALIYEOKO HUKO NYUMBANI BADO HAJATUTUMIA PICHA ZA MATUKIO HAYA.

MUNGU AENDELEE KUMPA UZIMA NA AFYA NJEMA DADA YETU AI.

No comments: