Tuesday, March 25, 2008

Mwalimu Christopher Mwakasege

Nilibahatika kuhudhuria semina ya mwalimu huyu.Kwa kweli ilikuwa imejaza watu wengi kupita kiasi pale katika viwanja vya biafra kinondoni hapa jijini Dar es Salaam.

Wakati wa kutoka jioni magari yalikuwa mengi sana kiasi cha kusababisha msongamano mkubwa wa magari maeneo hayo.Baadhi ya washiriki wa semina ya mwalimu Mwakasege iliyokwisha last week hapo kinondoni viwanja vya biafra wakinunua kanda za mafundisho ya mwalimu huyo kwa wingi.

No comments: