Wednesday, July 9, 2008

Pambio ya leo

Kiongozi wa sifa:......"Utukufuu kwake Yesuuuu....haleluyaaa...X 2"
Wote:"Utukufuu..kwake Yesuuuu...haleluya.....X2"
Kiongozi wa sifa:...."Vijanaa nauliza mnijibu sifa na utukufuuu tumpe nani....?"
Wote:"Utukufuu..kwake Yesuuuu...haleluya.....X2"
Kiongozi wa sifa:.."Umeombea wagonjwaa...wameponaa...usibebe utukufuuu..mwachie Yesuuu..."
Wote:"Utukufuu..kwake Yesuuuu...haleluya.....X2"
Kiongozi wa sifa:...."Umehubiri vizuri watu wamebarikiwaaa..usibebe utukufu...umpe Yesuu..."
Wote:"Utukufuu..kwake Yesuuuu...haleluya.....X2"

Rudia rudia mara nyingi pambio hiyo hadi uone upako umeshuka ndo uache...
anza kuimba basi hapo ulipo......
Mbarikiwe...

1 comment:

Anonymous said...

Asante sana Mtade kutukumbusha zilipendwa na bado zina mvuto,nyimbo za siku hizi zimekaa kibiashara tu, ujumbe ni finyu sana! Hivi ndivyo nionavyo!