Sunday, October 19, 2008

Salamu kutoka India

Bwana asifiwe sana wapendwa,
Kwa sasa nipo India,hapa New Delhi.
Leo nimetafuta mahali pa kuabudu sijapaona...naomba wapendwa na wanasayuni mliopo hapa India mnielekeze sehemu nzuri ya kuabudu..hasa hapa New Delhi na kule Derhadun maana nitakaa muda mwingi huko kwa kipindi nitakachokuwa hapa..
Mbarikiwe sana na nitakuwa nawapatia habari katika mlima sayuni kutokea huku kwa kadri Bwana YESU atakavyokuwa ananijalia..
Mbarikiwe sana..

Mtade,
Sayuni

No comments: