Monday, April 28, 2008

Huyu ndio Mary Damian

Anaitwa Mary Damiani,ameokoka na anampenda YESU.
mtembelee katika blogu yake ya http://strictlygospel.wordpress.com/ na utakutana na mambo ya kukujenga na kukubariki moyo.Mary ni mmoja wa wasomaji wakubwa wa mlima sayuni.Mungu akubariki dada.


No comments: