Kamera yetu ya sayuni leo hii imemshuhudia mtumishi wa Mungu huyu akiendeleza upako wa injili ya Yona maeneo ya mtaa wa msimbazi kariakoo.Ujumbe mkuu uliobeba mahubiri yake ulikuwa ni "usiketi barazani pa wenye mizaha...tubuni na mwaminini Yesu muokoke..."
Mungu ambariki mtumishi huyu ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja.
1 comment:
Safi sana! Ndo uzuri wa nchi zetu za Afrika na haswa Tanzania. Yaani kumnena Yesu barabarani ni nguvu na ujasiri wako tu! Mzee wa gombo la chuo Mungu akubariki sana!Endeleza hiyo injili ya Yona bila kuchoka matokeo yake utayakuta mbinguni kwa baba!
Post a Comment