Monday, April 28, 2008

Maombi/Msaada wa Kiroho/Ushauri

Nimekuwa nikipokea email nyingi na text msg nyingi kutoka kwa watu mbalimbali duniani wanahitaji msaada wa kiroho na maombi kutoka mlima sayuni.
Napenda kuwajulisha wapendwa wote ulimwenguni kuwa watumishi wote waliopo hapa sayuni wamejitolea kukuombea wewe pale unapowaandikia au kuwatext shida yako.Watakuombea bure kabisa bila kukudai kitu chochote.Gharama pekee unayotakiwa kuilipa ni imani yako wewe binafsi kwa YESU KRISTO wa Nazareth.Wengi wamekuwa wakinijulisha kupokea majibu yao kupitia mtandao huu.Bahati nzuri shuhuda nyingi ninazopokea ni za mambo ambayo si hekima kuyaweka hapa kwani yanahusisha mambo nyeti sana ya mtu.Lakini katika yote ijulikane kuwa KRISTO YESU anatukuzwa.Usisite kuwaandikia watumishi wa mlima huu wa sayuni nao wapo tayari kupanda juu ya mlima na kumsihi Bwana kwa ajili yako.Unapojibiwa usisite kutujulisha ili tumshukuru Mungu pamoja na wewe kama utaturuhusu tutaweka hapa ushuhuda wako ili uwajenge na wengine.

&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Hebu tujikumbushe lile tangazo letu hapa chini.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&

Unahitaji msaada wa kiroho?Unahitaji maombi?Unatatizo lolote linalokusumbua katika maisha na unahitaji ushauri wa kiroho na maombi?

Tafadhali piga simu au ujumbe mfupi wa simu au tuma email kwa watumishi wa Mungu wafuatao:-
1.Kwa walio Arusha na Moshi na mikoa yote ya kaskazini
Simu +255 784 24 28 25 , Email: savedlema@yahoo.com
2.Kwa walio Canada, North America na CarebeanEmail: hkalenga@mirarco.org
3.Kwa walio Sweden,Norway,Denmark na Ulaya kwa ujumlaEmail: chalujohn@yahoo.com
4.Kwa walio Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla,Africa yote,Asia na kwingineko duniani. Simu +255 713 28 05 96 (sms only) ,Email: miwlc@yahoo.com
Kumbuka kuwa mazungumzo yoyote kati ya watumishi hawa na wewe yatabakia kuwa siri.

No comments: